916 views
Citizen Drive Show on Radio Citizen
Aired 11 Jan 2021
2:52
Kwenye Barazani hii leo mume analalamika kwamba mke wake anamshauri watembelee mganga kuganguliwa baada ya yeye kupoteza kazi kipindi cha Corona #VincentAteya #aMelodySinzore #InspektaMwala