
857 views
Aliyekuwa rais wa marekani Donald Trump apigwa marufuku kuchapicha habari yoyote kwenye mitandao ya kijamii, hii ni baada ya mitandao yake ya twitter na facebook kufutiliwa mbaya na kampuni inayomiliki mitandao hiyo #DonaldTrump #VincentAtaya #MelodySinzore