1,771 views
Citizen Drive Show on Radio Citizen
Aired 7 Jan 2021
1:37
Akiongea kwenye kipindi cha #DriveOnReloaded Munai amedokeza kwamba wanaume wengi wana tatizo la nguvu za kiume na ikiwa utawadanganya kuwa chakula chochote kinaongeza nguvu za kiume watanunua #TinaOgal #MunaiGenerali