
953 views
Siku chache tu baada ya waziri wa elimu kutangaza kwamba wanafunzi wengi watalazimika kusomea nje ya madarasa yao walimu ktoka eneo la mlima Kenya wamejitokeza na kulalamikia baridi kali inatoka eneo la mlima Kenya #GeoffreyMwamburi #MunaiGeneral #DriveOnReloaded