
1,843 views
Kipindi cha #DriveOnReloaded kinacho letwa kwako naye #TinaOgal na #MunaiGenerali kimeonenekana kuchukuwa mkondo mwingine baada ya Munai kurejea na mnato wa aina yake, Hi ni baada ya ukimya wa muda mrefu kutokana na ajali aliyopata mwakao uliopita #DriveOnReloaded