
669 views
Waziri wa elimu George Magoha alitangaza kwamba shule zinapofunguliwa hii leokote nchini ni jukumu la kila mzazi kuhakikisha kwamba karo imelipwa na wanao wanapata barakoa za kutosha ili kujikinga kutokana na virusi hatari vya Corona #GeorgeMagoha #VincentAteya #MelodySinzore #Gumzo