
200,107 views
Akizungumza kwenye Radio Citizen katika kipindi cha Jambo Kenya Inspekta Mwala amesema kwamba amefika kikomo kufanya kazi Radio Citizen lakini bado kipindi chake cha Inspekta Mwala bado kitaendelea #InspektaMwala #VincentAteya #RadioCitizen