793 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 17 Dec 2020
3:20
Katika kipindi cha Jambo Kenya kitengo cha barazani kuna jamaa ambaye alielewana na mkewe achukuwe mkopo wanunue gari lakini baadaye mke akakataa kuchangia #RadioCitizen #MelodySinzore #VincentAteya