
566 views
Hiyo jana waziri wa elimu nchini profesa George Magoha alisema kwamba wanafunzi wote watarejelea masomo ya januari mwaka ujao na kusema kwamba walimu wote watapewa pima itayowalina kutokana na maambukizi ya Corona #GeorgeMagoha #MdlodySinzore #VincentAteya #Barazani