145 views
Waks Tiki Taka on Radio Citizen
Aired 26 Oct 2020
3:43
Watu ambao wana ulemavu wa kila aina wamejitokeza hadharani na kupinga ripoti ya #BBI kwa kile wanachosema ni kwamba wametengwa akatika nafasi za uongozi kwenye ripoti hiyo #JeridahAndayi #MelodySizore #JamboKenya