1,619 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 22 Oct 2020
3:44
Mwanaume momoja amejitokeza na kulalamika kwamba alimlipia mwanadada mmoja caro hadi chuo kikuu na sasa mwanamke huyo ambaye amekuwa mke wake kwa miaka 18 ameolewa na mwanaume mwingine #JamboKenya #JeridahAndayi #MlodySinzore