1,218 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 14 Oct 2020
9:59
Kwa mara ya kwanza msanii pia mpishi hodari #HolyDave amekana madai kwamba wakati mmoja aliwahi kuhusika kimapenzi na #LilianMuli #MamboMseto