
22,663 views
Utengano uliopo kati ya naibu rais William Ruto na Rais Uhuru Kenyatta sasa unaonekana wazi, hi ni baada ya naibu rais kuonekana akifanya misururu ya mikutano ya kisiasa jambo ambalo lionekana kama anaenda kinyume na matakwa ya Rais vile vile wendani wake wameonekana hadharani wakimkosoa Rais na kinara wa wa ODM Raila Odinga #UhuruKenyatta #RailaOdinga #WilliamRuto