
1,462 views
Ni hali ambayo imewaacha wengi na maswali chungu nzima baada ya chama cha Jubilee kukataa kutoa mgombea wa ubunge eneo la msambweni kama njia ya kuchochea Handshake kitendo ambacgo kilionekana kutomhusisha naibu wa Rais William Ruto #WilliamRuto #MzambweniByElection #UhuruKenyatta