
411 views
Akiongea kwenye kitengo cha Kikao kwenye kituo cha Radio Citizen mhariri Francis Gachuri amekieleza kituo hiki kwamba itakuwa vigumu sana Rais uhuru Kenyatta kuvunjilia mbali bunge la kitaifa kwa sababu ni mzigo kwa wananchi #UhuruKenyatta #DavidMaraga #FrancisGachuri