
1,771 views
Wakenya wakashifu viongozi mitandaoni baada ya Hospitali ya Pumwani kuogonga vichwa vya habari kwa mara nyingine tena ,Hi ni baada ya mama kujifungua nje ya lango la hospitali hiyo bila usaidizi wa waugizi #PumwaniHospital #GumzoMtaani #JamboKenya