
8,919 views
Akiongea na kituo hiki seneta wa Nairobi Johnson Sakaja amekanyusha madai kwamba aliwahi kumkosea Rais kwa kupinga ugavi wa fedha za kaonti na kuongeza kwamba washauri wa Rais ndio waliomfitini Rais Uhuru Kenyatta #JohnsonSakaja #UhuruKenyatta #VincentAteya