
1,741 views
Familia moja eneo la Lugari, kaunti ya Kakamega ililazimika kuvunja safari ya kupeleka mwili wa jamaa wao katika chumba cha kuhifadhi maiti baada ya marehemu 'kukataa' na kukwamisha magari manne yaliyochaguliwa kusafirisha mwili wake. MarehemubKepha Abukusi, 88, aliaga dunia Jumapili, Septemba 13. #TinaOgal #DriveOnReloaded #MunaiGeneral