
599 views
ni kisa ambacho kimewashangaza wengi baada ya mwanaume mmoja kumuua mkewe kwa sababu ya mzozo wa ugali katika kata ndogo ya ya Navakholo kaonti ya Kakamega . Joseph Shiro atuhumiwa kumuua Florence Makonjio huko Navakholo, Kakamega #Ugali #InspektaMwala #MelodySinzore