
1,331 views
Mteja wa barazani hii leo anasema kwamba mchumba wake alimwambia kwamba ana mimba na akaondoka akaenda kwao kwa muda wa miezi tatu sasa amerudi na kusema kwamba ilikuwa ni mchezo na alikuwa anataka kupima imani yake #Barazani #MelodySinzore #InspektaMwala