
206 views
Huenda shule zitafunguliwa hivi karibu na haya yatawekwa wazi wiki ijayo na jopo liloteuliwa kuchunguza hali ya utayari wa machule humu nchini.Ripoti ya iwapo shule zitafunguliwa au la la itatangazwa na Rais Uhuru Kenyatta mwenyewe #RaisUhuruKenyatta #ProfGeorgeMagoha #JamboKenya