182 views
Pambazuka on Radio Citizen
Aired 15 Sep 2020
5:52
Seneta wa Kakamega Cleophas Malalah hiyo jana alidondokwa na machozi baada ya kulalamika bungeni kwamba askari wana njama ya kumuangamiza #SenCleophasMalalah #JamboKenya #VincentAteya