
689 views
Baadhi ya viongozi wanaomshabikia Rais Uhuru Kenyatta wanamtaka naibu wa Rais kujitokeza hadharani na kuomba msamaha kutokana na matamshi ya mbunge Johanna Ng'eno yalionekana kumkosea heshima Rais Uhuru Kenyatta na familia yake #MamaNgina #WilliamRuto #UhuruKenyatta