11,541 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 8 Sep 2020
6:28
Matamshi ya mbunge wa Emurrua Dikirr Johanna Ng'eno yameibua hisia mseto katika mitandao ya kijamii hali ambayo imeonyesha vinywa vichafu vya wanasiasa #JohannaNg'eno #UhuruKenyatta #MamaNgina