
331 views
Akiongea na kituo hiki aliyekuwa spika wa Nairobi Beatrice Elachi aliiambia Radio Citizen Kwamba kinara wa ODM Raila Odinga Na Rais Uhuru Kenyatta wasilaumiwe hata na viongozi wa kaonti ya Nairobi kwa sababu ya utepetevu na uongozi mbaya #BeatriceElachi #NairobiCountAssembly #VincentAteya