
1,847 views
Hii leo kwenye #Barazani mwanadada mmoja naomba ushauri kwani mume wake hajahi mtembela hospitali kila mara anapoenda kuzaa.Kwa maoni yako binafsi unaonelea shida ni nini ana ushauri wako ni upi kwake ? #InspektaMwala #VincentAteya #MelodySinzore