119 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 3 Sep 2020
5:09
Kwenye mahojiano na #GoodEveningKenya mbunge wa Soy Caleb Kasitany amekashifu chama cha ODM kwa kushindwa kukosoa serikali hali ambaya imepea wafisadi mwanya wa kuiba pesa za umma #JubileeParty #ODMParty #CalebKasitany