
35,461 views
Akiongea kwenye #MamboMseto mtangazaji Willis Raburu maarufu kama Bazu amefichua kwamba kampuni moja maarufu ya tangazaji ilimnyima kazi na kudai kwamba hana sauti nzuri ya kutangaza na hata hawezi akatangaza milele , Sasa yeye ni mtangazaji tajika na kwanza ndio ameingia kwenye tasnia ya usanii na kuachilia kazi moja hatari kama #KALALE #WillisRaburu #MzaziWillyMTuva