
60,430 views
Kwa mara ya kwanza kabisa mtangazaji na mwanahabari wa wa runinga ya Citizen Willis Raburu amejitokeza na kusema kwamba mwaka huu wa 2020 ulikuwa mgumu kwake sababu licha ya kumpoteza bintiye aliachana na aliyekuwa mpenzi wake Mary. #WillisRaburu #MzaziWillyMTuva #SellyKadotAmutabi