617 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 1 Sep 2020
11:29
Akieleza kwenye kikao cha #JamboKenya Mhariri LincoIn Njogu alisema kwamba Jonah Manjari alikubali kwamba alilazimishwa kufanya ununuzi wa vifaa vya kudhibiti makali ya #Covid19 #JonahManjari #KEMSA #KIKAO