1,153 views
Waks Tiki Taka on Radio Citizen
Aired 31 Aug 2020
4:28
Kwa mara nyingine tena aliyekuwa seneta wa machakos Johnson Muthama amemtaja Kalonzo mosyoka kama kiongozi asiyeaminika, kigeugeu na ambaye hatosheki #KalonzoMsyoka #JohnsonMuthama #WilliamRuto