2,117 views
Waks Tiki Taka on Radio Citizen
Aired 31 Aug 2020
3:31
Akiongea kwenye mahojiano ya moja kwa moja aliyekuwa seneta wa Machakos Johnson mtama alieleza meza ya #JamboKenya kwamba chama cha WIPER hakikumpea umaarufu anavyodai Kalonzo Mosyoka #JonsonMuthama #KalonzoMsyoka #JamboKenya