
4,166 views
Akiongea na Radio Citizen aliyekuwa seneta wa ukambani Johnstone Muthama haungi naibu wa Rais mkonono kwa sababu ya pesa atakozopewa ila kwa sababu ameona Williamu Ruto ndiye kiongozi atakaye wakomboa wakenya #JamboKenya #WilliamRuto #JohnstoneMuthama