296 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 26 Aug 2020
11:47
Katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna amekitetea chama cha ODM kutokana na madai kwamba kinawatetea wafisadi walioiba pesa za KEMSA #Covid19 #EdwinSifuna #ODM