789 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 10 Aug 2020
2:44
Mgombea Urais Tanzania, Tundu Lissu amekiri kwamba hana imani na tume ya uchaguzi nchini Tanzani amedai kwamba tume hio ni ya Rais Magufuli na chama chake cha CCM.