555 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 10 Aug 2020
1:50
Tundu Lissu anayewania kiti cha urais nchini Tanzania amesema kwamba viashiria vyote vinaonesha kwamba uchumi wa nchi hio umeenda chini miaka 5 iliyopita. #TunduLissu #JamboKenya #RadioCitizen