
10,370 views
Kutokana kifo na cha muigizaji bora nchini Charles Bukeko maarufu kama Papa Shirandula tasinia ya uigizaji nchini imepata pigo jingine huku wasanii na waigizaji wakimuomboleza Papa Shirandula akiwemo mtangazaji shupavu Vincent Ateya na muigizaji Inspekta Mwala #PapaShirandula #InspektaMwala #VincentAteya