78,512 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 20 Jul 2020
5:37
Boni Khalwale kwa mara nyingine tena alijipata kwenye njia panda vihiga baada ya mkutano walikuwa nao kutibuliwa na sasa anaeleza kilichompelekea kummwagia maji OCPD wa eneo hilo #BoniKhalwale #VihigaCounty #JamboKenya