
4,184 views
Hivi karibuni visa vya wananaume kuwabaka watoto wadogo vimeripotiwa lakini baadhi ya wanaofanya vitendo hivyo ukwepa mkono wa sheria , Sasa hii leo watu wanaopatikana wakifanya vitendo hivyo wafanyiwe nini? #Barazani #MelodySinzore #InspektaMwala #VincentAteya