
326 views
Msanii Mr Champagn alionekana mwenye furaha kwenye video aliyoituma kwenye mtandao wake wa Instagram na kumsifu Dj Flash.Hii ni baada ya Dj Flash na Willy MTuva kufanya mahojiano ya moja kwa moja naye kitu ambacho kilifanya mashabiki wake kupata ujumbe huo na kumnunulia gari. #MrChampagne #DJFlash #WillyMTuva