
1,137 views
Mwadada mmoja alituma ujumbe na kuomba ushauri kwenye kitengo cha #Barazani Kwa sababu amegundua hivi karibuni mume wake amekuwa akipiganiwa na wanawake wawili kwenye mtandao wa facebook .Zaidi ya hayo mwanamke mmoja ana mtoto wake , Afanye Je?