
390 views
Kwenye mahojiano na kituo hiki mwenyekiti wa walimu wakuu kote nchini Kahi Indimuli amesema kwamba huenda wazazi wakalazimika kulipa karo upya kwani kiasi fulani cha pesa kilitumika kununua vyakula kabla janga la Corona kuingia nchini #KahiIndimuli #GeorgeMagoha #JamboKenya