
1,287 views
Baada ya Rais Uhuru Kenyatta Kufungua mipaka ya kuingia Nairobi na baadhi ya maeneo mengine humu nchini visa vya ungonjwa wa Corona huenda vikiendelea kuongezeka iliwa wakenya hawatafuata sheria zilizopo , Hali ambayo wataalamu wanahoji kwamba Rais amewachia wakenya jukumu la kujilind ana lile la kukabiliana na ungonjwa huu . #Francis Gachuri #JamilaMohamed #LincoInNjogu