3,683 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 7 Jul 2020
6:13
Rais Uhuru Kenyatta aliamrisha maeneo ya kuabudia kote nchini kufunguliwa ingawa kwa mashariti na kuomba Baraza la Madhehebu kuweka mikakati imara ya kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona. #LincoInNjogu #JamilaMohamed #Kikao