
372 views
Hii ni baada ya Rais Uhuru Kenyatta kupata msukumo kutoka kwa wakenya waliokuwa wakiomba kufunguliwa kwa mipaka inayoingia na kutoka jiji kuu la Nairobi na miji mingine ambapo ho,a ya Corona ilikuwa imekita mizizi #RaisUhuruKenyatta #JamilaMohamed #FrancisGachuri