3,743 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 30 Jun 2020
4:00
Tulikubaliana na mume wangu tuoane baada ya kuchumbiana kwa miaka 3 sasa Janga la corona lilipoingia nchini mume wangu anataka kuniona kwa lazima bila hata harusi nifanye je? #Barazani #MelodySinzore #InspektaMwala