190 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 30 Jun 2020
7:49
Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya na Waziri wa kilimo Eugene Wamalwa wamewaomba maMCA kote njini kusitisha michakato ya kuwabandua magava wao kwani huu si wakati mwema wa kufanya hivyo #WycliffeOparanya #EugeneWamalwa #FrancisGachuri