2,425 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 25 Jun 2020
3:47
Mtangazaji wa Radio Citizen maarufu kama Inspekta Mwala ametofautiana na waziri wa elimu George Mogoha kuhusu jinsi shule zitafunguliwa na masomo kuendelea kipindi hiki cha Corona #InspektaMwala #GeorgeMogoha #VincentAteya