
984 views
Kwenye barazani hii leo mteja wetu anadokeza kwamba alipoteza kazi kutokana janga la Covid19 lakini kwa bahati nzuri bibi yeye anaendelea na kazi yake na kila anaponunua chakula kwa nyumba siku hiyo hakukaliki #Barazani #InspektaMwala #VincentAteya