
1,909 views
Baadhi ya viongozi wa Jubilee ambao pia ni marafiki wakuu wa naibu Rais William Ruto wameonekana kupewa kuadhibiwa na Rais Uhuru Kenyatta wa hivi aajuzi akiwa Kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Aden Duale #WilliamRuto #UhuruKenyatta #Kikao